VIATU VYA AINA MBALIMBALI
Friday, February 26, 2016
soka
big mech kat ya arsenal na man utd siku ya j pili ni mechi kali san ya kuchuana kwa wababe hao
wawili watachuana vikali siku hiyo
Wednesday, February 24, 2016
YANGA YAMLAZA MTANI WAKE MABAO 2-0
yanga imeona nyota kwa kuilaza mtani wake kwa bao mbili kwa bila katika uwanja
wa taifa siku ya j mamosi.na kuondoka na point tatu mkononi simba yaliucheza mchezo
wa wakiwa pungufu baada ya mchezaji wake habdi banda kupewa kadi nyekundu na kushindwa kumiliki mchezo huo

Subscribe to:
Posts (Atom)