Wednesday, February 24, 2016

YANGA YAMLAZA MTANI WAKE MABAO 2-0
yanga imeona nyota kwa kuilaza mtani wake kwa bao mbili kwa bila katika uwanja
wa taifa siku ya j mamosi.na kuondoka na point tatu mkononi simba yaliucheza mchezo
wa wakiwa pungufu baada ya mchezaji wake habdi banda kupewa kadi nyekundu na kushindwa kumiliki mchezo huo

No comments:

Post a Comment